TZzambian music
RAYVANNY – KWETU mp3
Lyrics
Sifa kwa Mola wangu Maulana kwa mengi aliofanya
Hadi mi na we kukutana, kisura Sijapanga kudanganya, ntasema ukweli mama Kisa nakupenda sana, kisura Umesema wanipenda ila maisha yangu maseke Michicha, milenda ndo menyu yangu, na ya kuku mateke Yaani chenga, kila siku kilio sa lini nicheke? Sina tenda, ugali Buguruni, mboga Temeke Nafurahi umeniridhia niwe na wewe kimwali Maisha yangu mitihani isoisha maswali Ukifika nyumbani vumilia maana hali sio swali Asubuhi mchana pakavu, jioni ndo kula futaliTena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga Mwali wee, suala la nyumba na gari mimiBado, mi bado, mi bado
Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, iyee, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi badoMtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kariri vichochoro
Ghetto namkeka tu hakuna kitanda, shuka wala godoro Hekaheka hakuna kibatari ndani giza totoro Mvua ikinyesha nyumba inageuka ka boti ya Comoro Ila nimeshakupa, nimeshakupa mtima mtima Ukija kususa, utanizika mzima mzima Nimeshakupa eh, nimeshakupa mtima mtima Ukija kususa ah, utanizika mzima mzimaTena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga Mwali wee, suala la nyumba na gari mimiBado, mi bado, mi bado
Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, mie, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi bado Suala la nyumba na gari mimiBado, mi bado, mi bado
(Haki ya Mungu bado, yaani shuka bado) Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, iyee, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi bado